Mokhtar afufua ndoto za Mauritania CHAN 2024
USHINDI wa Mauritania dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati katika michuano ya CHAN 2024 umeibua matumaini mapya kwa kikosi cha Mourabitounes, huku mchezaji bora wa mechi hiyo, Ahmed Mokhtar Ahmed, akitamba juu ya ushindi huo. Baada ya mechi mbili mfululizo bila kufunga dhidi ya Madagascar na Tanzania, presha ilionekana kuwa kubwa kwa washambuliaji wa…