
RT kuwabana waandaaji mbio | Mwanaspoti
SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT) limepanga kuweka sheria mpya itakayowalazimisha waandaaji wa mashindano ya mchezo huo kuhakikisha wanajumuisha pia mbio za watoto katika kila tukio litakaloandaliwa. Hatua hiyo inalenga kujenga msingi imara wa vipaji na kuwekeza mapema kwenye maendeleo ya riadha nchini. Rais mpya wa RT, Rogath John Stephen Akhwari alisema mpango huo utahusisha kuandaa…