Mahakama yaridhia Exim kumshtaki Gavana BoT

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeiruhusu Benki ya Exim kufungua shauri dhidi ya Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kupinga uamuzi wa kuirejeshea isivyo halali Kampuni ya Swiftline Logistics Limited Dola 224,000 za Marekani zilizochukuliwa kwenye akaunti. Uamuzi huo umetolewa na Jaji Awamu Mbagwa, katika shauri la Exim la…

Read More

Kituo cha nyuklia cha Iran chagongwa sawa na ‘darasa moja la watoto’ waliouawa, kujeruhiwa kila siku nchini Lebanon – Masuala ya Ulimwenguni

Pointi muhimu Watu 1,000+ waliuawa na 2,584 kujeruhiwa nchini Lebanon tangu Machi 2 Iran yaathiriwa na kituo cha nyuklia Mashirika ya Umoja wa Mataifa yameonya kuwa watu milioni 45 wanaweza kukabiliwa na njaa ikiwa vita dhidi ya Iran vitaendelea “Ongezeko la hivi majuzi limeua au kujeruhi sawa na darasa moja la watoto kila siku,” alisema…

Read More

RC CHALAMILA AKUTANA NA GAVANA WA JIMBO LA MANIEMA-CONGO DRC

………. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Feb 25,2026 amekutana na Gavana wa Jimbo la Maniema-Congo DRC Mhe Mussa Kabwankubi Moise akiwa ameambatana na ujumbe wake alipomtembelea Ilala Boma Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yao wamekubaliana mashirikiano katika nyanja mbalimbali ikiwemo Uchumi na Masuala ya Kiusalama kati ya Mkoa…

Read More

Juma Kaseja mguu sawa Championship

BAADA ya ratiba ya Ligi ya Championship kuwekwa wazi, Kocha wa Kagera Sugar, Juma Kaseja amesema moja ya malengo makubwa anayopambana nayo ni kuhakikisha anakirejesha tena kikosi hicho Ligi Kuu Bara, licha ya ushindani mkubwa uliopo. Akizungumza na Mwanaspoti, Kaseja alisema baada ya ratiba kutoka na kikosi hicho kuanza mechi mbili mfululizo nyumbani, wanahitaji kupambana…

Read More

Mke alia mumewe kutoweka katika mazingira tata

Moshi. “Ninamuombea msamaha mume wangu kwa watu wanaomshikilia, naombeni mnisamehe na mimi kama mke wake na muwasamehe watoto niliozaa naye kwa sababu adhabu mnayompa Joseph hata mimi inanipata, tena inanipata zaidi kuliko huyo mnayemshikilia kwa sababu sijui alipo, kwa nini mnatutesa hivi?” Ni kauli ya Rehema Seleman (27), mkazi wa Kata ya Ng’ambo, mjini Moshi…

Read More

Mtanzania anyakua tuzo Misri | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Oscar Evalisto anayekipiga Makadi FC ya Misri ameibuka na tuzo ya mchezaji bora wa mechi dhidi ya Maraga FC akisema zawadi hiyo ni maalumu kwa baba yake mzazi aliyefariki dunia wiki iliyopita. Huu ni msimu wa pili kwa mshambuliaji huyo kuitumikia Makadi. Msimu uliopita alicheza miezi sita akitokea Mlandege na aliwahi kupita…

Read More

MGOMBEA URAIS CCM DK.SAMIA ATAJA YALIYOFANYIKA UYUI AKIOMBA KURA KWA WANANCHI

Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Tabora MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha  Mapinduzi(CCM) Dk.Samia Suluhu Hassan amehutubia maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora huku akitumia nafasi hiyo kuelezea mipango ya Serikali katika miaka mitano ijayo. Akizungumza leo Septemba 11,2025 katika mkutano uliofanyika katika Kata ya Ilolanghulu wilayani Uyui mkoani Tabora, Dk.Samia Suluhu Hassan amesema wananchi…

Read More