Bolt Yazindua Kipengele cha "Trusted Contacts" Kuboresha Usalama wa Abiria na Madereva

Kampuni ya Bolt imezindua kipengele kipya cha “Trusted Contacts” ambacho kitawawezesha abiria na madereva kuongeza majina na namba za simu za marafiki au ndugu kwenye orodha ya mawasiliano ya akaunti zao. Kipengele hiki kitaiwezesha Timu ya Usalama ya Bolt kuwasiliana na mawasiliano hayo endapo mwenye akaunti hatapatikana. Uzinduzi huu ni sehemu ya uwekezaji wa Bolt…

Read More

Sudan, 'machafuko yanayoharibu zaidi ya kibinadamu na uhamishaji ulimwenguni' – maswala ya ulimwengu

1) Vita: 2023 Khartoum Mapigano ya Herald Mwisho wa Mchakato wa Amani Mwisho wa 2022, kulikuwa na matumaini kwamba mchakato wa amani ambao haujarudishwa hatimaye utasababisha utawala wa raia huko Sudani, baada ya kipindi kigumu ambacho kiliona kuanguka kwa dikteta wa muda mrefu Omar al-Bashir katika mapinduzi ya kijeshi, ikifuatiwa na Kukandamiza kwa ukali kwa…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Bwenzi sasa ashindwe mwenyewe

HADI sasa bao bora katika Ligi Kuu msimu huu kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa kijiweni ni lile la Seleman Rashind ‘Bwenzi’ alilopachika dhidi ya Yanga. Jamaa alifunga bonge la bao kwa kumtungua kipa hodari wa Yanga, Djigui Diarra akiwa katikati ya uwanja na alipiga shuti la mbali lililomshinda kipa huyo kutoka Mali na kujaa…

Read More

MAELEKEZO YA RAIS SAMIA YAANZA KUTEKELEZWA KATAVI

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Kavuu Mhe. Geophrey Mizengo Pinda amekabidhi jumla ya Hati za Hakimiliki za kimila 691 kwa wanachi wa vijiji vya Ntilili na Igalukiro. Hafla ya kukabidhi hati hizo imefanyika leo tarehe 21 Novemba 2024 katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kasansa…

Read More

Gari la mbunge lataifishwa, wahamiaji haramu watupwa jela

Moshi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na Mahakama ya Wilaya ya Moshi, zimeamuru kutaifishwa magari mawili yaliyokamatwa yakiwasafirisha wahamiaji haramu 12 raia wa Ethiopia, likiwamo linalodaiwa kumilikiwa na mbunge. Mbali na kutaifishwa kwa magari hayo kuwa mali ya Serikali ya Tanzania, mahakama zimewahukumu wahamiaji hao kulipa faini ya Sh500,000 kila mmoja au kutumikia kifungo cha…

Read More

Lema ataja umaskini Same chanzo ni kukosa soko la tangawizi

Same. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema licha ya Wilaya ya Same kulima zao la tangawizi kwa wingi, bado wananchi wake wameendelea kuwa na hali mbaya kiuchumi kutokana na zao hilo kukosa soko. Amesema maji ya tangawizi nchini Marekani yanauzwa Dola 12 (Sh31,200), hata hivyo kukosekana kwa…

Read More