
Dk ‘Dk Manguruwe’ afikisha siku 287 rumande, upelelezi bado
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40), maarufu Dk Manguruwe, amefikishwa siku 287 akiwa rumande kutokana na upelelezi wa kesi yake ya uhujumu uchumi, kutokamilika. Mkondya na mwenzake, Rweyemamu John (59), ambaye ni Mkaguzi wa fedha wa kampuni hiyo, wanakabiliwa na mashtaka 28 yakiwemo ya kuendesha biashara ya upatu…