Serikali yaifungulia India fursa mpya ya uwekezaji nchini

Dar es Salaam. Serikali imewakaribisha wawekezaji kutoka India kuja kuwekeza katika uongezaji thamani wa mazao yanayopatikana nchini kwani malighafi zinapatikana kwa wingi, hivyo gharama za uzalishaji zitakuwa nafuu kwao. Hayo yamebainishwa leo Julai 15, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa jukwaa la biashara la Tanzania – India lenye lengo la kuwafungulia fursa zinazopatikana Tanzania…

Read More

Waangola wamchongonisha Pantev na mabosi Simba

KOCHA wa Petro Atletico ameondoka na furaha baada ya kuichapa Simba, lakini kuna kitu amesema lazima kitakoleza moto mbaya wa mwenzie Dimitar Pantev aliyepo Msimbazi. Petro iliifunga Simba kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mechi yao ya ufunguzi ya Kundi D la Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni mara ya kwanza kwa…

Read More

ATCL yatangaza ajira 173 | Mwananchi

Dar es Salaam. Katika hatua za kutanua wigo wa utoaji huduma kwenye sekta ya anga Shirika la Ndege la Taifa la Tanzania, (ATCL) limetangaza nafasi za ajira 173. Shirika hilo linalomilikiwa na Serikali linatafuta marubani wapya, wahudumu wa ndege, na wafanyakazi wa ardhini kama sehemu ya utekelezaji wa mpango mkakati wa miaka mitano (2022/23–2026/27). Mpango…

Read More

Pantev ataja mambo matatu vipigo mfululizo CAF

MENEJA Mkuu wa Simba, Dimitar Pantev, ametoa kauli iliyoashiria kuumizwa na matokeo ya kupoteza mechi mbili za kwanza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku akitaja mambo matatu yaliyochangia hilo. Simba imeanza hatua hiyo ya makundi kwa kufungwa nyumbani bao 1-0 dhidi ya Petro Atletico, kisha imechapwa 2-1 na Stade Malien ugenini. Matokeo…

Read More

SERIKALI IANZISHE SOMO LA AMANI NA UZALENDO, DARASA LA AWALI HADI CHUO

::::: MWENYEKITI wa Tanzania Mzalendo Foundation, Khamis Mgeja ametoa ushauri, akiiomba Wizara ya Elimu nchini ianzishe masomo ya Amani, Uzalendo na Mazingira shuleni kuanzia darasa la awali hadi Chuo Kikuu. Mgeja ambaye anaongoza taasisi inayojishughulisha na masuala ya haki, Amani na Demokrasia nchini, ametoa ushauri huo mwishoni mwa wiki alipokuwa mgeni rasmi katika mahafali ya…

Read More