
Staa Morocco afichua jambo kuwahusu
MSHAMBULIAJI wa Morocco, Oussama Lamlioui, amesema mshikamano wa timu ndiyo msingi wa mafanikio ya Simba wa Milima ya Atlas kufuzu hatua ya robo fainali katika mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN 2024. Lamlioui alikuwa shujaa wa Morocco mjini Nairobi baada ya kuonyesha kiwango bora katika eneo la kiungo na kutwaa tuzo…