Watoto 1,500 wenye matatizo ya moyo wasubiri msaada

* Kikwete kuongoza harambee matibabu yao mwezi ujao Mwandishi Wetu RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, anatarajiwa kuongoza harambee ya kuchangia matibabu ya watoto 1,500 wanaougua magonjwa mbalimbali ya moyo ili wapate matibabu kwenye Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Naibu Spika…

Read More

Kocha Azam awatia hasira kina Fei

KIPIGO cha mabao 2-1 ilichopewa Azam FC kutoka kwa Nyuki wa Tabora United, kimemchefua kocha wa timu hiyo, Rachid Taoussi, akisema kimewatibulia malengo, lakini akiwatia hasira wachezaji kwa kuwataka wasahau yaliyopita na kujiweka vyema kwa mchezo utakaopigwa kesho Jumanne dhidi ya Fountain Gate. Kocha huyo raia wa Morocco, alisema matokeo waliyopata mjini Tabora yameiathiri timu…

Read More

Ahukumiwa miaka minne kwa mauaji ugomvi wa choo

Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Bukoba imemhukumu adhabu ya kifungo cha miaka minne jela, Jacob Alphonce baada ya kumkuta na hatia ya kosa la mauaji bila kukusudia. Mei 27,2024 Jacob alimuua Lucas Denis, katika eneo la Nyamiaga wilayani Ngara Mkoa wa Kagera. Ilidaiwa na upande wa mashitaka kuwa siku ya tukio, mke wa Jacob,…

Read More

Mkuu wa Umoja wa Mataifa amwambia Rais Putin uvamizi wa Urusi unakiuka Mkataba wa Umoja wa Mataifa – Global Issues

Mkutano wao ulifanyika Alhamisi, huko Kazan, Urusi, mahali pa Mkutano wa 16 wa BRICS. Katika chapisho kwenye mtandao wa kijamii wa X, Bwana Guterres aliandika siku ya Ijumaa kwamba wakati wa mkutano huo, amesisitiza kwa Rais Putin uharamu wa uvamizi wa Urusi. “Nilisisitiza hoja nilizotoa katika kikao cha Mkutano Mkuu,” Bw. Guterres alisema. Kundi la…

Read More

Siku moja yampa jeuri Minziro

KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fred Felix ‘Minziro’ amesema kusogezwa mbele siku moja kwa mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji kumempa nafasi ya kuendelea kuijenga timu kisaikolojia baada ya kukamilisha maandalizi ya kimbinu. Pamba Jiji itakuwa ugenini Alhamisi hii kuikabili Dodoma Jiji mchezo ambao awali ulipangwa upigwe kesho Jumatano na timu hiyo ipo nafasi ya…

Read More

mwenge – Global Publishers

Washiriki wa Msafara wa Twende Butiama 2025 wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuhitimisha safari yao wilayani Butiama mkoa wa Mara eneo ambalo amezikwa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Msafara huu umefadhiliwa na Vodacom Tanzania Plc kwa kushirikiana na benki ya Stanbic Tanzania, ulipita katika mikoa 11 baada…

Read More