
Instagram na ‘updates’ mpya kila kukicha
Dar es Salaam. Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram, wamekuwa wakipata masasisho mapya (new updates) kila baada ya muda, hali inayotajwa kama ubunifu wa wamiliki wa mtandao huo (Kampuni ya Meta) ili kuongeza hamasa kwa watumiaji wake. Kwa sasa Instagram iko kwenye majaribio ya kipengele kipya kiitwacho ‘Picks’ kitakachowawezesha watumiaji kupata ama kugundua mambo…