Mtemvu azindua kampeni za Zungu Ilala

MWENYEKITI WA Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abass Mtemvu,amesema wamejipanga vyema kuhakikisha MgombeaUrais Dk.Samia Sukuhu Hassan anapata kura za kishindo mkoani humo. Ameyasema alipokuwa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azzan Zungu alipo zindua kampeni za CCM katika jimbo la Ilala,Dar es Salaam, Jana. Mtemvu alisema Rais DK. Samia, amefanya mambo makubwa ya utekelezaji…

Read More

Saliboko aanza mbwembwe Ligi Kuu Bara

DARUWESH Saliboko wa KMC amekuwa mchezaji wa kwanza msimu huu kufunga bao katika Ligi Kuu Bara msimu wa 2025-2026 alipoiwezesha timu hiyo kuibuka washindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji ameanza mbwembwe mapemaa. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Polisi Tanzania na Lipuli, alisema ushindi iliyopata KMC ikiwa nyumbani ulikuwa ni mpango wa timu na…

Read More

Mashariki ya Kati inavyoadhimisha Eid katikati ya vita

Dar es Salaam. Wakati baadhi ya  Waislamu wakiendelea na mfungo wa Ramadhan katika baadhi ya maeneo duniani, Mashariki ya kati katika mataifa kama Saudi Arabia wamesherehekea sikukuu ya Eid al-Fitr. Kutokana na tishio la kiusalama linalochochewa na vita vya Iran, Israel na Marekani, mataifa hayo ya Ghuba yametangaza kuwa sala za sikukuu ya Eid mwaka…

Read More