Veta yaagizwa kurejesha kozi za kilimo, ufugaji na ujasiriamali
Dodoma. Serikali imeitaka Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) kurejesha kozi mbalimbali ambazo awali ziliondolewa ikiwemo kilimo, ufugaji na ujasiriamali ili ziendane na mazingira na fursa za kiuchumi zilizopo katika maeneo husika, lengo likiwa kuwawezesha wananchi na vijana kujiajiri na kushiriki kikamilifu katika uchumi wa eneo hilo. Agizo hilo limetolewa leo, Novemba…