
Uchumi wa Mirerani Kupaa Kupitia Soko la Madini – RC Manyara
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, akizungumza mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Soko la Madini la Tanzanite Trading Centre lililopo Mirerani, Simanjiro.Na Mwandishi Wetu, Simanjiro. ● Ujenzi wa soko la madini Mirerani umefikia 98%. ● Shilingi bilioni 5.5 zimetolewa na Rais Samia kukamilisha mradi ● Shughuli za biashara…