KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA MCHINGA ZAZINDULIWA RASMI LEO

Kampeni za Ubunge katika Jimbo la Mchinga, Kata ya Rutamba, zimezinduliwa rasmi leo kwa kushirikisha viongozi mbalimbali wa Kitaifa na Mkoa, kampeni hizo zimezinduliwa rasmi kupitia Mbunge wa Jimbo hilo, Mama Salma Kikwete, akiambatana na mumewe, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, pamoja na wabunge kutoka…

Read More

Tchakei achomolewa Yanga, sababu yatajwa

LICHA ya kutajwa kumalizana na Yanga, kiungo mshambuliaji raia wa Togo, Marouf Tchakei, anarejea Singida Black Stars baada ya mpango wa kujiunga timu hiyo ya Jangwani kwa mkopo kugonga mwamba katika dakika za mwisho. Tchakei ambaye alikuwa amejiunga na Yanga na kutumika katika mechi moja ya mashindano Zanzibar hatakuwa sehemu ya kikosi hicho ikielezwa kuna…

Read More

Yanga yamficha winga mpya Avic

YANGA bado inapiga hesabu za kusajili winga wa maana na mezani kwao kuna mawinga wawili akiwemo Philipe Kunzumbi na Basiala Agee, lakini mmoja kati ya hao wawili akawahishwa kambi ya klabu hiyo ya Jangwani iliyopo Avic Town fasta akiwekewa mtego wa maana. Yanga ilimfungia safari Agee baada ya Rais wa klabu hiyo, Injinia Hersi Said…

Read More

Yanayoathiri maumbile ya siri ya mwanamke

Mbeya. Baadhi ya wanawake wenye umri kati ya miaka 18 mpaka 35 wako hatarini kiafya kutokana na matumizi ya kemikali, vidonge na vitu vinavyotengenezwa kwa njia asili sehemu zao za siri. Vitu hivyo ni pamoja na vidonge mbalimbali vinavyochakatwa viwandani kwa bidhaa asili maarufu ‘yoni’, ugoro, shabu na hata wengine kuweka limao wakiwa na malengo…

Read More

Dili la KibuDenis bado kidogo

MABOSI wa Simba kwa sasa wanasikilizia tu dili la nyota wa timu hiyo, Kibu Denis aliyepo Norway kwa sasa akimalizana na klabu ya Kristiansund BK kama ambavyo Mwanaspoti lilivyoripoti awali taarifa kuwa ametoroka ni zuga tu ya viongozi wa Wekundu hao kwani walikuwa wanajua kila kitu. Taarifa zilizopatikana kutoka ndani ya klabu hiyo ni, mabosi…

Read More

SBL yataka mazingira yenye usawa wa kodi kwenye bia

  Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) waishauri serikali kuzingatia kuimairsha mazingira wezeshi ya sera na kodi ili kukuza mapato ya serikali na ukomavu wa biashara nchini. SBL waliyasema haya kwenye kikao na kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara wikiendi hii. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). “Hali ya kodi…

Read More

Ilanfya mambo freshi, mjipange | Mwanaspoti

BAADA ya mshambuliaji wa JKT Tanzania, Charles Ilanfya kukaa nje kwa msimu mzima akiuguza jeraha la goti la kulia aliloumia kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Azam, amesema atarejea kivingine 2025/26. Ilanfya alisema licha ya kukaa nje alikuwa anafanya mazoezi na kufuatilia Ligi Kuu ili kujua kinachoendelea, na kilichomvutia zaidi ni kiwango walichokionyesha wazawa kama…

Read More