Miundombinu ya barabarani, madaraja tumejenga wenyewe
Dar es Salaam. Serikali imeeleza kuwa kwa sasa inajenga miundombinu ya barabara na madaraja kwa kutumia fedha za kodi kwa ajili ya kuboresha usafiri na maendeleo ya wananchi. Imeeleza katika kipindi cha miaka minne barabara za lami zenye urefu wa kilomita 1,365 zimekamilika kujengwa na kilomita 2,380 za barabara za kiwango cha lami zinaendelea kujengwa…