Mabalozi wakubali kuwekeza Dodoma wakieleza ardhi inafaa
Dodoma. Serikali imewaita mabalozi kutambua umuhimu wa kuwekeza katika Jiji la Dodoma, kwani ndiyo eneo pekee linalowafaa kwa sasa. Wito huo umetolewa jana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Mahmoud Thabiti Kombo alipokuwa akizungumza na mabalozi kwenye hafla na ziara iliyopewa jina la ‘Diplomatic Capital City Tour’. Balozi Kombo amesema…