Majaliwa ataka uwazi utekelezaji miradi ya umwagiliaji
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametaka uwazi na usimamizi madhubuti wa fedha katika utekelezwaji wa miradi ya umwagiliaji nchini. Majaliwa ametoa maelekezo hayo kwa watendaji watakaohusika na usimamizi wa miradi hiyo, akisisitiza kufanya hivyo kutachagiza kukamilika haraka kwa kazi hizo. Kauli ya mtendaji mkuu huyo wa Serikali inakuja katika kipindi ambacho, Serikali imeweka…