Wanawake wapaza sauti kusaka nguvu ya uamuzi
Dar es Salaam. Uwepo wa wanawake katika nafasi za uongozi pekee hakutoshi katika uwezeshaji wa wanawake, bali fursa hiyo inapaswa kuambatana na nguvu ya kufanya uamuzi. Vilevile, ushiriki wa wanaume katika safari ya kuwawezesha wanawake nao umetajwa kama jambo muhimu kwa kuwa wote wanategemeana. Msisitizo umetolewa kuwa, haiwezekani kufikia malengo ya uwezeshaji wa wanawake bila…