Wadau wasisitiza ushirikiano kuchochea maendeleo endelevu
Dar es Salaam. Wadau wa maendeleo nchini wameeleza umuhimu wa ushirikiano miongoni mwao ili kuhakikisha maisha ya Watanzania yanakuwa bora na stahimilivu kupitia teknolojia na sera wezeshi. Wadau wamebainisha hayo leo Agosti 14, 2025 kwenye mjadala ulioandaliwa na Kampuni ya Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kuhusu umuhimu wa ushirikiano wa…