Tulia Ackson aeleza sababu ya kutoimba wimbo akimuaga Msuya
Mwanga. Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameeleza sababu ya kutouimba wimbo wa “Moyo Wangu Una Furaha ya Kwenda Mbinguni” katika mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, Cleopa Msuya, baada ya Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa kuwataka waamini na waombolezaji kushirikiana naye kuimba….