TTCL YALETA MAPINDUZI YA KIDIJITALI NCHINI – MWAKAGENDE

  Na Okuly Julius Dodoma Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni muwakilishi wa wanawake mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagende amelipongeza shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL kwa kuifungia nchi katika eneo la Mawasiliano. Amesema maboresho makubwa yaliyoyafanywa na TTCL katika kuhudumia umma wa watanzania hasa katika ulimwengu wa…

Read More

Siri ya ushindi CCM mikononi mwa waratibu

Dar es Salaam. Mtihani wa ushindi wa kura za urais kwa upande wa Chama cha Mapinduzi (CCM) umeachwa mikononi mwa waratibu wa kampeni za nafasi hiyo, waliogawanywa katika kila kanda. Hatua hiyo ya CCM imeongeza chachu ya ushindani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Mbali na ule wa CCM dhidi ya vyama vya upinzani,…

Read More

Wanafunzi sekondari wapatiwa elimu ya  fedha kuepuka mikopo ‘kausha damu’

Dar es Salaam. Wanasema samaki mkunje angali mbichi, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya wanafunzi wa sekondari nchini kupatiwa elimu ya fedha itakayowasaidia kuanzia sasa na hata watakapokuwa watu wazima. Hatua hiyo inatokana na changamoto iliyopo ya Watanzania wengi kukosa elimu ya fedha, hususani mikopo hivyo kujikuta wakiangukia kwenye mikopo umiza yenye riba kubwa maarufu…

Read More

Mjue koala, mnyama anayelala saa 22 kwa siku

Dar es Salaam. Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mnyama wa porini aitwaye koala leo Mei 3, jamii imesisitizwa kuhusu umuhimu wa kulala na utunzaji wa mazingira. Koala ni mnyama wa familia ya wombat ambaye kwa kawaida hupatikana nchini Australia. Wanajulikana kwa vichwa vyao vikubwa, masikio mafupi yenye manyoya na miili isiyo na mkia na wanachukuliwa…

Read More

Mvua yaacha kilio Kahama, makazi yaharibiwa

Kahama. Mvua iliyonyesha wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga imeleta athari katika baadhi ya maeneo, ikijaza mitaro ya majitaka na kufurika katika makazi ya watu. Wakizungumza na Mwananchi jana Januari 7, 2025, baadhi ya wananchi wa Kata ya Mulanga na Majengo wilayani hapa wamesema maji hayo yamewakosesha makazi, kuharibu mali na kuhatarisha afya zao. Kuruthumu Dafa…

Read More

Jeshi la Polisi Tanzania laanza kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uchunguzi wa Kisayansi wa Jinai

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi (DCP), Mwamini Rwantale, ametangaza kuwa Tanzania inajiunga na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uchunguzi wa Kisayansi wa Jinai, ambapo sayansi hiyo inatoa mchango mkubwa katika kutoa haki na kubaini wahalifu. Rwantale alisema kuwa kila mwaka ifikapo Septemba 20, dunia inaadhimisha siku…

Read More