Vodacom Yazindua Ripoti Ya ESG – Global Publishers

Dar-es-Salaam, Agosti,26,2025, Vodacom Tanzania imezindua Ripoti ya ESG ambayo inalenga utekelezaji wa teknolojia ya Kidigitali kufika Dira 2050. Akizungumza wakati wa Uzinduzi huo uliofanyika mapema Leo, jijini Dar-es-Salaam, Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Mipango na Uwekezaji,Mh.Prof.Kitila Mkumbo, amesema  anawashukuru na kuwapongeza Kampuni hiyo ya Vodacom kwa kuandaa mdaharo mzuri wa kuandaa Watanzania katika Utekelezaji wa Dira…

Read More

Wadau wapendekeza njia kupambana na kukatika kwa intaneti

Dar es Salaam. Wakati watumiaji wa mtandao wa intaneti wakizidi kuongezeka nchini, wadau wa sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wameshauri watoa huduma hizo watafute njia mbadala pale inapotokea hitilafu. Msingi wa hoja hiyo umetokana na sakata la kukatika kwa mtandao wa intaneti Tanzania kwa zaidi za siku mbili kuanzia Mei 12, 2024 lililosababishwa…

Read More

Simulizi wanayokumbana nayo wanawake wauza ndizi mtaani

Moshi. Wakati baadhi ya watu wakiitazama biashara ya ndizi mbivu mitaani kama ya kimasikini, ukweli ni kwamba biashara hiyo imekuwa mkombozi kwa wanawake wengi katika Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Biashara hiyo imewapa mafanikio kama vile kujenga nyumba, kusomesha watoto, kusaidia familia zao mahitaji muhimu ya kila siku huku wakijisikia furaha kuifanya kama ajira inayoendesha…

Read More

Daktari ambaye hakuweza kuacha Goma – maswala ya ulimwengu

Moto wa bunduki ulirarua giza. Usiku baada ya usiku, daktari wa miaka 44 kutoka Guinea alishikilia kwa matumaini kwamba mji uliozingirwa ungeshikilia kwa njia fulani. Halafu, asubuhi moja mwishoni mwa Januari, simu ilikuja: Yeye na wafanyikazi wa kimataifa waliobaki walipaswa kuhamishwa mara moja. “Tulichukua ndege ya mwisho,” alikumbuka. Masaa baadaye, Goma alikuwa mikononi mwa M23….

Read More

Taifa Stars Stars kuvuna Sh9.9 bilioni

MICHUANO ya Fainali za Ubingwa kwa Mataifa ya Afrika  kwa wachezaji wa ndani (CHAN) 2024 inaanza leo, Agosti 2, 2025 kwa mechi ya ufunguzi kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Burkina Faso itakaochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Kuanza kwa michuano hiyo kunaifanya Stars mezani kuwa na kitita cha Sh9 bilioni…

Read More