Mavunde aibana kampuni kutimiza masharti ya mkataba
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited kutimiza masharti ya mkataba wa ubia wa uwekezaji wa kutoa msaada wa kiufundi kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Utulivu kilichopo eneo la Bululu, Wilayani Nyangh’wale Mkoani Geita. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Mavunde ameyasema hayo jana tarehe 27 Aprili 2024 katika Kijiji…