Afrika Kusini yataka Umoja wa Mataifa uongozwe na mwanamke
New York. Afrika Kusini imesema umefika wakati wa Umoja wa Mataifa kuongozwa na mwanamke na kwamba nchi hiyo inaunga mkono uchaguzi wa kiongozi mwanamke kushika wadhifa wa juu zaidi wa taasisi hiyo kubwa zaidi duniani. Hayo yamesemwa na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa wakati akihutubia katika siku ya kwanza ya mkutano wa 80 wa…