Sababu panda shuka idadi ya wanafunzi sekondari binafsi
Dar es Salaam. Mchujo, idadi ya wanafunzi wanaohitajika katika shule husika na wazazi kukosa fedha za kugharamia mahitaji na ada zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazochochea kupanda na kushuka kwa idadi ya wanafunzi sekondari binafsi. Pia ongezeko la shule za Serikali nayo imetajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazofanya shule hizo kukosa wanafunzi. Sababu hizi zimetolewa…