
Majaji watakaoamua hatima ya Katiba Mpya
Dar es Salaam. Hatima ya upatikanaji wa Katiba mpya sasa imewekwa mikononi mwa jopo la majaji watatu linaloongozwa na Jaji Adam Mambi. Majaji wengine katika jopo hilo ni Dk Zainabu Mango na Frank Mirindo. Jopo hilo ndilo lililokabidhiwa na Jaji Kiongozi, Mustapher Siyani, dhima ya kuamua shauri la kikatiba linalolenga kufufua na kuhitimisha mchakato wa…