Baada ya Vijana kuifinya Savio UDSM, Stein kazi ipo

KIWANGO cha chini kilichoonyeshwa na Savio kilisababisha ifungwe na Vijana ‘City Bulls’ kwa pointi 70-50, katika Ligi ya kikapu Dar es Salaam inayofanyika katika Uwanja wa Donbosco, Upanga. Savio iliyowahi kuwa bingwa wa  ligi hiyo ya BDL 2015, 2016, 2017, 2018 na 2021, ilishindwa kuonyesha makali yao kama ilivyozoeleka. Katika mchezo huo, ilionekana haijajianda vizuri…

Read More

Latra yaonya wanaolipisha leseni bila kibali

Songwe. Mamlaka y Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imepiga marufuku watu wanaochukua tenda za kulipisha leseni za bajaji na pikipiki kufanya msako wa kuwakamata wasiolipa leseni na kuwatoza fedha zinazodaiwa kuwa ni rushwa. Ikieleza hakuna sheria inayowaruhusu kufanya hivyo. Kauli hiyo ilitolewa na ofisa wa sheria kutoka Latra,  makao makuu Dodoma, Martha Ngaga kwenye semina…

Read More

WANAHARAKATI WASISITIZA UUNGWAJI MKONO KWA WANAWAKE WALIO TEULIWA NA VYAMA KUGOMBEA

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WANAHARAKATI wa Jinsia na Maendeleo wameshauri kuwaunga mkono wanawake ambao wameteuliwa na vyama vyao kutokana na kukatwa majina ya  wanawake wengi katika mchakato wa ndani wa vyama vyao. Akizungumza jana Novemba 06,2024 Mabibo-Jjijini Dar es Salaam katika ofisi za Mtandao wa jinsia TGNP kwenye semina za jinsia na Maendeleo (GDSS)zinazofanyika…

Read More

Mauaji ya visasi vya kifamilia yatikisa Katavi

Katavi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limeeleza mafanikio ya operesheni, doria, misako na hatua za kesi zilizofikishwa mahakamani ambapo watu 74 wanashikiliwa na jeshi hilo kwa makosa mbalimbali ikiwemo watu 12 kutuhuma kuhusika na mauaji ya wanafamilia. Akizungumza na vyombo vya habari leo Julai 5, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani…

Read More

Tanzania kubeba ajenda ya vijana, wenye ulemavu mkutano UN

Dar es Salaam. Ushirikishwaji wa vijana na watu wenye ulemavu ni miongoni mwa mambo yaliyopendekezwa na yatakayowasilishwa katika mkutano wa Umoja wa Mataifa uitwao Summit of the Future, utakaofanyika nchini Marekani Septemba 22 hadi 23, 2024. Hayo yameelezwa leo Septemba 6, 2024 wakati wa ukusanyaji maoni ya kupeleka kwenye mkutano huo unaohusisha asasi za kiraia,…

Read More

Barrick yaingiza Sh12 trilioni katika uchumi wa Tanzania

Bulyanhulu. Kampuni ya Barrick imewekeza Dola 4.79 bilioni za Marekani(Sh12 trilioni) katika uchumi wa Tanzania katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Barrick imeeleza hayo Jumatatu ya Julai 7, 2025 huku ikisisitiza dhamira yake ya kutoa thamani shirikishi na maendeleo ya muda mrefu nchini. Kwa mujibu wa Barrick kati ya kiwango hicho Dola 558 milioni  (Sh1.4…

Read More

Sabilo aitamani tena Ligi Kuu

KIUNGO mshambuliaji wa TMA, Sixtus Sabilo amesema licha ya ugumu anaokumbana nao kucheza Ligi ya Championship anaiona nafasi yake ya kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kushuka kiwango kwa muda. Sabilo amejiunga na TMA mwanzoni mwa msimu huu akitokea Polisi Tanzania ameliambia Mwanaspoti kuwa aliamua kushuka katika Ligi ya Championship kwa lengo la kuinua kiwango…

Read More