Tanzania kubeba ajenda ya vijana, wenye ulemavu mkutano UN
Dar es Salaam. Ushirikishwaji wa vijana na watu wenye ulemavu ni miongoni mwa mambo yaliyopendekezwa na yatakayowasilishwa katika mkutano wa Umoja wa Mataifa uitwao Summit of the Future, utakaofanyika nchini Marekani Septemba 22 hadi 23, 2024. Hayo yameelezwa leo Septemba 6, 2024 wakati wa ukusanyaji maoni ya kupeleka kwenye mkutano huo unaohusisha asasi za kiraia,…