Chanzo ongezeko la vifo, ajali za barabarani Zanzibar

Unguja. Uchumi wa nchi yoyote unategemea zaidi miundombinu bora, kurahisisha usafiri na usafirishaji. Miongoni mwa miundombinu hiyo ni ya barabara nzuri, imara zenye alama kwa kujali watumiaji wote. Zanzibar licha ya kuwa na miundombinu ya barabara, bado ina safari ndefu ya kuziwezesha kuwa na sifa hiyo. Kuna mambo yanaonekana kama madogo lakini athari yake ni…

Read More

Wanafunzi jamii ya wafugaji wapata misaada ya shule

Arusha. Zaidi ya wanafunzi 150 wa jamii ya wafugaji wa Kimasai waishio Kijiji cha Kimokouwa, wilayani Longido, Mkoa wa Arusha wamepatiwa misaada ya vifaa mbalimbali vya shule. Misaada hiyo imetolewa hivi karibuni na Shirika la ‘Smile Youth and women Support Organisation’ la jijini Arusha, kwa lengo ni kusaidia wanafunzi hao wa shule za msingi na…

Read More

Watatu wafariki Manyara, ajali ikihusisha magari matano

Hanang’. Watu watatu wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari matano na pikipiki, eneo la Mogitu wilayani Hanang’ Mkoa wa Manyara. Ajali hiyo imetokea eneo la mteremko wa Mogitu katika barabara kuu ya Singida-Babati. Eneo hilo kulikuwa kumetokea ajali nyingine iliyohusisha magari mawili ya mizigo iliyosababisha njia kufungwa na magari kushindwa kupita,…

Read More