Chanongo hatihati kuivaa Mbuni | Mwanaspoti
Arusha: Kiungo mshambuliaji wa Pamba Jiji FC, Haruna Chanongo huenda akakosa mchezo wa mwisho wa Ligi ya Championship dhidi ya Mbuni FC kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya nyama za paja. Umuhimu wa nyota huyo unatokana na kuwa ndiye kinara wa ufungaji kwenye kikosi hicho cha TP Lindanda kinachonolewa na kocha Mbwana Makata akiwa amehusika…