Morogoro wajipanga kuongeza uzalishaji wa maziwa

Morogoro. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima, amesema licha ya mkoa huo kukosa takwimu sahihi za uzalishaji wa maziwa, wamejiwekea mikakati ya kuongeza uzalishaji hadi kufikia lita 50,000 ndani ya miaka miwili ijayo. Malima amesema hayo leo Ijumaa, Mei 23, 2025, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya 28 ya…

Read More

Hakikisha mipango yako iendane na hali ya uchumi wako

Huwezi kununua gari kwa sasa, aliongea Cath huku akiwa amekaza macho bila kuyapepesa. Siwezi kushindwa kununua gari wakati ninafanya kazi na ninalipwa mshahara, akajibu Juma. Mipango niliyonayo mimi ni kukopa pesa na kununua gari, unataka niwe na mipango gani mingine? Juma alilalamika. Nisikilize rafiki, nakubaliana na wewe kuhusu kununua gari, lakini siwezi kukushauri ununue kwa…

Read More

NMB, IFC na Mastercard Waingia Makubaliano Kuboresha Upatikanaji wa Huduma za Kifedha kwa Wanawake Nchini.

Washington, DC, Marekani. Benki ya NMB imesaini makubaliano na Shirika la Kimataifa la Fedha (IFC) na Mastercard kuzindua Mradi wa Ushauri wa “Banking on Women Advisory Project,” ambao unalenga kuboresha masuluhisho ya kifedha kwa wanawake nchini Tanzania. Makubaliano hayo yamesainiwa siku ya Alhamisi, tarehe 24 Oktoba 2024, katika Mkutano wa Mwaka wa Shirika la IFC…

Read More