NAIBU WAZIRI UMMY AZINDUA MIRADI YA KIUCHUMI YA WENYE ULEMAVU

  Na Mwandishi wetu- Dar es salaam  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amezindua miradi ya kiuchumi ambayo iko chini ya  Shirika lisilo la Kiserikali la Strategic Alternative Learning Technique (SALT), inayohudumiwa na vijana wenye changamoto za ufahamu. Mhe. Nderiananga alifanya uzinduzi huo Jijini Dar es Salaam kwa…

Read More

Kuondolewa VAT wazalishaji mafuta wafunguka

Dar es Salaam. Hatua ya Serikali kupendekeza msamaha wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye mafuta ya kupikia yanayozalishwa nchini, hatua hiyo  imetajwa kuongeza hamasa ya uwekezaji katika uzalishaji, kilimo cha mazao ya mafuta na itapunguza bei ya bidhaa hiyo. Wasindikaji wa ndani wa mafuta wameeleza kwa uhalisia wa uwezo wa viwanda walivyonavyo, wanaweza…

Read More

Watetezi Kanisa la Gwajima waongezeka

Dar es Salaam. Wakati waumini 84 kati ya 86 waliokamatwa katika Kanisa la Ufufuo na Uzima wakiachiwa huru na Polisi, taasisi na watu mbalimbali wameendelea kujitokeza kupinga iliyochukuliwa na Serikali ya kufuta kanisa hilo linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima. Waumini hao ni miongoni mwa waliokamatwa usiku wa kuamkia Juni 3, 2025, kufuatia mvutano uliotokea kati…

Read More

Straika mpya Simba ashtua, Freddy Koublan atajwa!

TAARIFA za Simba kusajili straika mpya kipindi hiki muda mchache kabla ya dirisha kufungwa kesho Alhamisi, zimeshtua wengi, lakini mshtuko zaidi umekuja kwa mchezaji mwenyewe ambaye anatajwa kumalizana na timu hiyo. Leonel Ateba raia wa Cameroon kutoka USM Alger, ndiye anayetajwa kumalizana na Simba akipewa mkataba wa miaka miwili. Straika huyo ana kibarua kigumu cha…

Read More

Viongozi wa Pasifiki wanataka hatua ya hali ya hewa ya ujasiri katika mkutano wa bahari – maswala ya ulimwengu

Viongozi wa Kisiwa cha Pasifiki wanazungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika Mkutano wa 3 wa Bahari ya UN huko Nice. Mikopo: Naureen Hossain/IPS na Naureen Hossain (Nzuri, Ufaransa) Jumatano, Juni 11, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Nice, Ufaransa, Jun 11 (IPS) – “Hakuna hatua ya hali ya hewa bila hatua ya bahari,”…

Read More