VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA NA WAFANYABIASHARA MTWARA WAPATIWA ELIMU YA FEDHA
Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha – Wizara ya Fedha, Bw. Salim Kimaro akitoa elimu ya fedha kwa wanavikundi na wajasiriamali katika ukumbi Shule ya Ufundi ya Sekondari Mtwara (Mtwara Technical Secondary School) Manispaa ya Mtwara. Afisa Sheria Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Ramadhani Myonza, akitoa elimu…