Kocha afichua ‘Pacome sio wa kawaida’

OKTOBA 10, 2025, Pacome Zouzoua alikiwasha kwa dakika 90 katika mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 akiitumikia Ivory Coast wakati ikiichapa Shelisheli mabao 0-7 ugenini kwenye Uwanja wa National Sports Complex nchini Mauritius, ikiwa ni mechi ya Kundi F. Pacome alianza kikosini huku mastaa wengine wakiishia benchi mazima kama Amad Diallo wa Manchester…

Read More

Unachelewa kula usiku? Ugonjwa huu unakunyemelea

Dar es Salaam. Kama una tabia ya kuchelewa kula usiku, basi unakabiliwa na hatari ya kupata magonjwa ya moyo, hususani wale wanaotumia vyakula vyenye wanga na sukari. Takwimu za Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) zinaonyesha kuwa takribani watu milioni 17 wanakufa kwa magonjwa ya moyo duniani kwa mwaka na tatizo hilo linaongezeka…

Read More

Equity Bank Yafungua Milango ya Uwekezaji Zanzibar

Zanzibar imechukua hatua madhubuti katika kujenga mazingira bora ya uwekezaji wa kimataifa kupitia uchumi wa buluu, huku Equity Bank Tanzania ikijitokeza kama daraja muhimu kati ya visiwa hivyo na jumuiya ya wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Hii ni sehemu ya jitihada za kuifanya Zanzibar kuwa kitovu cha biashara na maendeleo endelevu. Katika Jukwaa…

Read More

Mwanaharakati wa hali ya hewa ya Tajik anawasihi viongozi kujumuisha sauti za vijana katika mazungumzo – maswala ya ulimwengu

Mwisho wa Aprili, Fariza Dzhobirova alihudhuria mkutano wa Model United Mataifa juu ya utunzaji wa barafu katika mji mkuu wa Tajikistan, Dushanbe, ambapo aliwakilisha Uswizi. Kwa Bi Dzhobirova, ilikuwa mazoezi ya aina kwa kiwango halisi cha juuMkutano juu ya uhifadhi wa barafu ambao ulianza Alhamisi huko Dushanbe. Huko, atatumika kama mwanachama wa jopo anayewakilisha nchi…

Read More

Tanzania ishindwe yenyewe tu CHAN 2025

DROO ya mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) 2024, itakayofanyia Agosti mwaka huu, imefanyika juzi huku Tanzania ikiangukia kundi ‘B’ na timu za Mauritania, Madagascar, Burkina Faso na Jamhuri ya Afrika ya Kati. Katika droo hiyo iliyochezeshwa juzi katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta Kenya, ‘Kenyatta International Convention Centre’…

Read More