Siku saba za presha umeya, uenyekiti wa halmashauri
Dar es Salaam. Joto la uteuzi wa kuwania umeya wa majiji, manispaa na wenyeviti wa halmashauri limehamia ngazi ya kamati za siasa za mikoa, zitakazochuja na kupendekeza majina ya wagombea hao kwa ngazi ya kitaifa. Hatua hiyo ni baada kamati za siasa za wilaya za Chama cha Mapinduzi (CCM) zilizoketi leo Jumamosi Novemba 22 nchi…