AIC Nira Gospel Choir, Lemi George wazidi kupaa
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mwimbaji wa gospo kutoka jijini Mwanza, Lemi George na kwaya ya AIC Nira, wamefanikiwa kujizolea mashabiki wapya kupitia wimbo wao mpya, Msalabani. Akizungumza na mtanzania.co.tz leo, Lemi, alisema anamshukuru Mungu kwa mapokezi makubwa ya video ya wimbo huo ambao umefanya vizuri katika msimu wa sikukuu ya Pasaka. “Huu ni upendo…