Mafundi Rangi, ujenzi Kilimanjaro, waungana kuzisaka fursa za kiuchumi
Moshi. Mafundi rangi na ujenzi mkoani Kilimanjaro wameamua kujitafuta ili kukabiliana na changamoto za kitaaluma, kimazingira, na kuhakikisha wanafanya kazi kwa kuzingatia weledi unaohusiana na shughuli zao. Mafundi hao, ambao sasa wanaunda umoja wao kupitia chama cha Mafundi Rangi na Ujenzi Mkoa wa Kilimanjaro (Chamaruki), wamekusudia kutumia fursa mbalimbali ili kujikwamua kiuchumi na kuboresha shughuli…