
WANANCHI WA SINZA E WAKIHOJI OFISI ZA SERIKALI YA MTAA ZILIPO, BAADA YA KUVAMIWA KWA ENEO LAO
WAKAZI wa Sinza E, jijini Dar es Salaam, wameibua maswali mazito wakilalamikia kuvamiwa kwa eneo lililokuwa likitumika kama ofisi za Serikali ya Mtaa, huku wakibaki na wasiwasi kuhusu ofisi zao mpya zilipo na namna huduma zitakavyotolewa. Akizungumza leo, Agosti 18, 2025, mbele ya waandishi wa habari, Paul Luvinga, mkazi wa eneo hilo, amesema eneo hilo…