WHI KUTEKETEZA MRADI WA NYUMBA 101 MIKOCHENI REGENT ESTATE JIJINI DAR ES SALAAM
Watumishi Housing Investments (WHI) inatarajia kutekeleza mradi wa nyumba 101 katika eneo la Mikocheni Regent Estate jijini Dar es-salaam. Ujenzi huo utaanza Mwezi Agosti 2024 na unahusu ujenzi wa jengo la ghorofa 12 lenye nyumba 101 ambapo kila mnunuzi atamilikishwa nyumba atakayoinunua ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Makazi kwa Watumishi wa Umma…