ECOWAS yahofia kitisho cha mpasuko – DW – 08.07.2024
Haya yameelezwa kwenye mkutano wa kilele wa jumuiya hiyo ya ECOWAS ulioanza jana Jumapili mjini Abuja, Nigeria. Rais wa Halmashauri kuu ya ECOWAS Oumar Touray amesema wakati wa ufunguzi wa mkutano huo wa Abuja kwamba ukanda huo unakabiliwa na kitisho cha kugawanyika na kuongezeka kwa mashaka ya kukosekana kwa usalama baada ya mataifa hayo matatu…