Siku 39 Ramovic alivyoibadili Yanga
Sead Ramovic alitambulishwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga ikiwa ni muda mchache baada ya klabu hiyo kutangaza kuachana na Miguel Gamondi. Ramovic ambaye ametua Yanga akitokea TS Galaxy ya Afrika Kusini, leo Desemba 24, 2024 ametimiza siku 39 tangu utambulisho wake huo ufanyike huku akifanikiwa kuiongoza timu hiyo kucheza mechi sita za kimashindano. Katika mechi…