Singida FG, Mashujaa vita ya matumaini
KESHO Jumapili Singida Fountain Gate na Mashujaa FC zitakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu za matumaini ya kubaki Ligi Kuu Bara na kumaliza nafasi za juu kwenye msimamo zitakapokutana katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kuanzia saa 10:00 jioni. Kocha Msaidizi wa Mashujaa FC, Makatta Maulid (kushoto) na mchezaji wa timu hiyo Shadrack Ntabindi wakizungumzia…