Hofu, matumaini ya Bryson JKT
BEKI wa JKT Tanzania, David Bryson ameutaja msimu wa 2025/26 ni dume kutokana na ushindani uliopo, huku akiwatahadharisha wapinzani wao, wanaitaka tano bora ya Ligi Kuu Bara, hivyo watarajie ushindani. Bryson amesema hayo baada ya kucheza dakika 90 dhidi ya KMC na kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa bao 1-0 na kupata ushindi wa…