Hofu yatanda wagonjwa wa kipindupindu wakifikia 46 Mbeya, chanzo chatajwa
Mbeya. Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kusambaa jijini Mbeya baada ya idadi ya wagonjwa kufikia 46, huku uhaba wa huduma ya maji ukitajwa kuwa sababu na kuleta hofu kwa wananchi wakiomba serikali kuingilia kati. Desemba 11 idadi ya wagonjwa walikuwa 22 ambao walibainika katika kata nane, ambapo kwa sasa zimeongezeka kufikia 18 kati ya 32 za…