Chuma Cha Chuma arejeshwa mahakamani kujua hatma ya dhamana yake
Kijana Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu kwa jina la Chuma Cha Chuma ambaye ni Raia wa Burundi, amerudishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam leo November 06,2024 kwa ajili ya kujua hatma ya dhamana yake. Chuma kwa Chuma akikabiliwa na mashitaka ya kuishi Nchini Tanzania bila kibali. Chuma ambaye ni Mkazi…