Kutoka kwa Ulinzi wa Injini hadi Kuwainua Watu, Safari ya Makusudi ya Vivo Energy Kupitia Kampeni ya “Uliza Oili ya Shell”

VIVO Energy Tanzania, kampuni inayosambaza na kuuza mafuta na vilainishi vya chapa ya Shell, inajivunia kutangaza uzinduzi wa kampeni yake iitwayo “Uliza Oili ya Shell.” Hii ni harakati thabiti na ya kina inayolenga kuwaelimisha na kuwawezesha madereva wa Tanzania kufanya maamuzi sahihi kuhusu vilainishi wanavyotumia—ikichochea ulinzi wa injini na pia maendeleo ya kijamii. Kampeni hii…

Read More

Waliotoa ushahidi kesi ya ‘waliotumwa na afande’ wafikia 10

Dodoma. Mashahidi 10 wameshatoa ushahidi wao kwenye kesi ya jinai inayowakabili washtakiwa wanne wanaokabiliwa na mashtaka ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile, binti mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam. Mpaka Agosti 30, 2024 jumla ya mashahidi sita walikuwa wameshatoa ushahidi, akiwemo binti anayedaiwa kufanyiwa vitendo hivyo aliyetambulishwa mahakamani kwa jina…

Read More

SERIKALI YAENDELEA KUTOA MAFUNZO KWA WALIMU 70,657 UTEKELEZAJI MITAALA ILIYOBORESHWA, YAANZA MAPITIO SHERIA YA ELIMU

Tarehe 1 Februari 2025 Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alizindua rasmi Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo la 2023 inayolenga kutoa elimu inayozingatia ujuzi kulingana na mahitaji ya soko la ajira na kuchangia katika maendeleo ya Taifa. Serikali imeendelea kutoa mafunzo kwa walimu ikiwemo utekelezaji…

Read More

Serikali, wadau kushirikiana kukuza utalii

Ngorongoro. Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau katika kukuza sekta ya utalii, ambayo kwa mwaka 2024 imeingizia Taifa Dola za Marekani bilioni 3.9 (sawa na Sh9 trilioni). Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dk Hassan Abbasi, amesema hayo jana Septemba 27, 2025 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani yaliyofanyika katika eneo la Ngoitokitoki,…

Read More

Kocha Mbelgiji ateta na Folz, Pantev

KOCHA wa Chippa United, Luc Eymael amesema itakuwa ni aibu kwa Romain Folz na Dimitar Pantev kama Yanga na Simba zitashindwa kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Eymael, ambaye aliwahi kukinoa kikosi cha Yanga, alisema kutokana na ubora wa vikosi vilivyoundwa na klabu hizo mbili, hakuna sababu ya kushindwa kufuzu hatua ya…

Read More

Simba, Azam, Singida BS zaweka rekodi ugenini CAF

ILICHOFANYA Yanga jana Ijumaa ikiwa ugenini nchini Angola baada ya kushinda mabao 0-3 dhidi ya Wiliete Benguela, ndicho kilichofanywa na wawakilishi wengine watatu wa Tanzania Bara katika michuano ya CAF, Simba, Azam na Singida Black Stars baada ya zote kupata ushindi leo. Hiyo inaonesha ni mwanzo mzuri wa wawakilishi wetu katika michuano ya kimataifa msimu…

Read More

Hatima ya Sugu, Msigwa Kanda ya Nyasa ni suala la muda tu

Njombe. Wakati uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa ukifanyika leo Mei 29,2024 wajumbe na makada wa chama hicho wamejitokeza kwa wingi kushiriki hatua hiyo. Uchaguzi huo ni kuwapata viongozi wa mabaraza ikiwa ni Baraza la Wanawake (Bawacha), Wazee (Bazecha) na Vijana (Bavicha) na Mwenyekiti,  Makamu na Mweka Hazina….

Read More

Sakata la Toto Afya Kadi laibuka tena bungeni

Dodoma. Sakata la Toto Afya Kadi limetinga tena bungeni na Serikali imeendelea kusisitiza msimamo wake kuwa kilichobadilika ni utaratibu wa kujiunga kupitia makundi, badala ya mtoto mmoja mmoja. Mbunge wa Viti Maalum Rehema Migila ndiye aliyeibua suala hilo katika kipindi cha maswali na majibu leo Mei 27, 2024. “Je, Serikali ina mpango gani wa kuwasaidia…

Read More

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA DKT. PINDI CHANA AZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO KWA AJIL YA KUTATUA MIGOGORO YA WANANCHI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Katika hatua kubwa ya kuimarisha utatuzi wa migogoro nchini, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Pindi Chana, ameanzisha kituo cha mawasiliano “contact center” maalumu kwa ajili ya wananchi kuwasilisha migogoro yao moja kwa moja wizarani. Dkt. Chana amepongeza juhudi za serikali katika kutatua kero na migogoro kwenye jamii, na amesisitiza umuhimu wa kuhakikisha wananchi wanapata…

Read More