SERIKALI KUJENGA BARABARA YA NJIA NNE MWANZ

::::;;; Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kikamilifu kuleta mapinduzi ya miundombinu katika Jiji la Mwanza kupitia ujenzi wa barabara ya njia nne kuanzia Mwanza Mjini hadi Usagara pamoja na njia ya mabasi ya mwendokasi, hatua inayolenga kufungua fursa mpya za kiuchumi kwa jiji hilo na mikoa jirani. Akizungumza kuhusu mradi huo,…

Read More

‘Mfumo mpya wa Tancis iliyoboreshwa mwarobaini changamoto za kiforodha’

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua Mfumo Jumuishi wa Forodha Tanzania (Tancis) ulioboreshwa, ambao unatajwa  kuwa tiba ya matatizo yote ya kiforodha kwenye uondoshaji shehena bandarini, mipakani na  kwenye viwanja vya ndege Mfumo huo ambao umeboreshwa unaziunganisha taasisi 36 ukilenga  kuboresha ufanisi, kuhakikisha usahihi wa data na kupunguza ucheleweshaji wa shughuli za…

Read More

LEONBET kumwaga fedha kwa watakao bashiri kwa usahihi matokeo ya Trump dhidi ya Kamala

Wakati joto la uchaguzi mkuu wa Rais wa Marekani uliopangwa kufanyika Novemba 5, 2024 likipanda, kampuni nyota ya michezo ya kubashiri nchini, LEONBET imetangaza kuwapa fedha watakaobashiri kiusahihi matokeo ya wagombea, Donald Trump na Kamala Harris. Meneja Mkuu wa LEONBET Tanzania, Tumaini Maligana alisema kuwa wameamua kupanua wigo wa kubashiri kwa wafuatiliaji wa siasa ili…

Read More

Aziz Ki, Fei Toto vita yaanza upyaa

TUZO za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa msimu huu zitafanyika Agosti Mosi, jijini Dar es salaam huku vita ya nyota wa Yanga na Azam FC, Stephane Aziz Ki na Feisal Salum ‘Fei Toto’ ikianza upyaa Bara. Nyota hao ambao msimu uliopita walichuana katika vita Mfungaji Bora na Aziz KI kuibuka mbabe mwishoni kwa kufunga…

Read More

Shambulio la Zaporizhzhia linaashiria vifo vingi zaidi vya raia katika takriban miaka miwili – Masuala ya Ulimwenguni

Raia 13 waliuawa, na 110 kujeruhiwa, wakati mabomu mawili ya angani yalipopiga kituo cha viwanda katika mji wa kusini. Hii alama idadi kubwa zaidi ya majeruhi ambayo HRMMU imerekodi tangu jengo la makazi katika jiji la Dnipro lilipopigwa tarehe 14 Januari 2023, na mbaya zaidi tangu duka kuu la Kostiantynivka, mkoa wa Donetsk, lilipopigwa tarehe…

Read More

Ufanye nini ndoa yako ikivunjika?

Baadhi ya ndoa huvunjika haraka ilhali nyingine huonekana kuchukua muda mrefu. Haijalishi kisababishi ni nini, ndoa ikivunjika unaweza kuelemewa na hisia mbalimbali. Hisia kama vile, huzuni, hasira, maumivu, kuhofu kuhusu wakati wako ujao, upweke, kuchanganyikiwa kutokana na maamuzi unayopaswa kufanya na hisia ya kushindwa kwa sababu ya ndoto na mipango iliyoharibika. Ni muhimu kuchagua njia…

Read More

Watendaji serikalini watakiwa kusikiliza kero za wananchi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaagiza watendaji wa Serikali nchini kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Katome, Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Dkt. Biteko amesema ni wajibu wa watendaji wa Serikali kuhakikisha…

Read More

Aliyewaua wazazi kwa kuzuiliwa kulima ahukumiwa kunyongwa

Arusha. Mahakama ya Rufani iliyoketi Iringa, imebariki adhabu ya kunyongwa hadi kufa, aliyokuwa amehukumiwa Marko Kivamba, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua baba yake mzazi, Matei Kivamba na mama yake wa kambo, Rozarina Nyingo. Tukio hilo lilitokea Machi 1, 2017 katika Kijiji cha Igomtwa wilayani Mufindi Mkoa wa Iringa. Miongoni mwa ushahidi uliomtia hatiani…

Read More