Serikali ilivyojizatiti kuondoa nishati isiyo salama ya kupikia

Dar es Salaam. Licha ya jitihada zinazoendelea kufanyika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Watanzania wengi bado wanatumia isiyo salama, hali inayohatarisha afya zao na kuharibu mazingira. Hatua hiyo inaifanya Serikali kusimama kikamilifu katika utekelezaji wa mkakati unaolenga kufikia 2034 asilimia 80 ya Watanzania wawe wanatumia nishati safi ya kupikia. Katibu Mkuu wa Wizara…

Read More

AI ikitumika maabara, wataalamu wapewa angalizo

Mwanza.  Chama cha Wataalamu wa Maabara za Afya Tanzania (MeLSAT) kimesema kimeanza kutumia teknolojia ya akili mnemba (AI) katika utekelezaji wa majukumu yake. Hata hivyo, kimesisitiza kuwa wataalamu wake hawawezi kupoteza ajira, bali wataendelea kuwa kiungo muhimu kuhakikisha huduma za afya zinatolewa kwa ufanisi. Akizungumza jijini Mwanza jana Septemba 25, 2025, katika kongamano la 38…

Read More

Serikali yaondoa kusudio kupinga shauri la Mpina, sasa kusikilizwa Jumatatu

Dar/Dodoma. Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imepanga kusikiliza shauri la kuenguliwa katika uteuzi mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, baada ya maombi kutolewa na kujibiwa kwa maandishi. Mahakama imetoa maelekezo hayo leo Jumatano, Septemba 3, 2025, baada ya wajibu maombi, Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kuachana na mpango…

Read More

Wawekezaji wanawake soko la hisa bado kiduchu

Dar es Salaam. Wakati zaidi ya Watanzania 800,000 wakiwa wamewekeza katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), imeelezwa kuwa wanawake ni asilimia 35 ya wawekezaji katika soko hilo mpaka sasa. Hayo yameelezwa leo, Ijumaa Machi 6, 2026 na Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Peter Nalitolela, wakati wa hafla ya upigaji kengele maalumu inayolenga…

Read More

Mirambo achukua mikoba ya Kidao TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemteua Oscar Mirambo kuwa Kaimu Katibu Mkuu akichukua nafasi ya Kidao Wilfred ambaye mkataba wake unafikia tamati Septemba 30 mwaka huu. Taarifa iliyotolewa leo Septemba 24, 2025 na Ofisa Habari na Mawasiliano wa TFF, Cliford Mario Ndimbo, imesema: “Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania…

Read More

CCM Geita yazindua kampeni zake, mshikamano ukisisitizwa

Geita. Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita,  Jumanne Septemba 2, 2025 kimezindua kampeni za kuinadi Ilani ya CCM 2025-2030 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kampeni hizo zinazinduliwa wakati majimbo saba kati ya tisa na kata 92 kati ya 122 mkoani humo, wagombea wao wanasubiri kupigiwa kura za Ndiyo na Hapana. Akizungumza katika uzinduzi huo…

Read More

Kampeni zaendelea, vyama vitatu vikisuasua

Dar/Mikoani. Wakati Chama cha Demokrasia Makini kikizindua kampeni zake za uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kesho Jumanne, vyama vinne vimepishana na ratiba ya uzinduzi wa kampeni zao iliyotolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), huku Chama cha Mapinduzi (CCM) kikiendelea kujinadi kwa wananchi. Wakati kampeni zikiingia siku ya tano leo tangu zianze Agosti…

Read More