WAKENYA WAANDAMANA KUPINGA SERIKALI YA RAIS RUTO – MWANAHARAKATI MZALENDO

Leo, Wakenya katika maeneo kadhaa nchini wamejitokeza kwa ajili ya “Maandamano ya Nane Nane,” yaliyoandaliwa kupinga utawala wa Rais William Ruto. Waandamanaji wanadai kuwa serikali ya Ruto imekosa kutimiza ahadi zake na wanamtaka ajiuzulu. Huku maandamano hayo yakiendelea, Rais Ruto amewataka Wakenya kuyakataa akisema yanaweza kusababisha machafuko nchini. Aliwataka wananchi kudumisha amani na kutafuta njia…

Read More

Zelensky ahudhuria mkutano wa kuijenga upya Ukraine – DW – 11.06.2024

Kiasi viongpozi, wanasiasa na maafisa 2,000 wa mashirika ya kimataifa wanahudhuria mkutano wa mjini Berlin unaowaleta pamoja watu kutoka maeneo mbalimbali ya ulimengu wanaojishughulisha na juhudi za maendeleoa na kuyejenga upya maeneo yaliyohabiriwa na vita nchini Ukraine. Mkutano huo hautarajiwi kuwa wa wafadhili unaonuia kuchangisha fedha. Akizungumza kwenye mkutano huo, kansela wa Ujerumani Olaf Scholz…

Read More