DKT. MWINYI – CCM ZANZIBAR ITASHINDA KWA KISHINDO MWAKA 2025 – MWANAHARAKATI MZALENDO
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewahimiza wanachama wa CCM kujiandikisha kwa wingi katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mwezi Januari mwakani ili kuwa na sifa ya kushiriki Uchaguzi Mkuu na kukihakikishia Chama Cha Mapinduzi ushindi wa kishindo kutokana…