Waandishi toeni taarifa sahihi juu ya zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura nchini

Kuelekea zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura nchini itakayo anza julai misi maka huy waaandishi wa habari wametakiwa kutumia majukwaa yao kutoa elimu na kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha kuwa wapiga kura, Pamoja na kuboresha taarifa zao katika Daftari hilo ili waweze kupiga kura na kuchagua viongozi wanaowataka. Akizungumza  jijini Dar es…

Read More

MWANDUMBYA ATETA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA ALSTOM

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ALSTOM, nchini Tanzania, inayojihusisha na uwekezaji katika ujenzi na uendeshaji wa miundombinu ya reli duniani,  Bi.  Kefilwe Mothupi, baada ya kumalizika kwa kikao kilichofanyika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw….

Read More

Maporomoko mgodini yalivyopoka uhai wa watu sita

Shinyanga. Kuporomoka kwa kifusi katika mgodi unaomilikiwa na kikundi cha Hapa Kazi Tu, Mwakityolo mkoani Shinyanga, kumepoka uhai wa watu sita na kuwajeruhi 17 kwa mujibu wa taarifa rasmi ya uokozi hadi leo saa 12:00 jioni. Hadi taarifa ya mwisho ya uokozi ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Shinyanga inayotolewa leo, inadaiwa watu 20…

Read More

Folz avunja ukimya Yanga, awajibu mashabiki

YANGA imeanza kwa kishindo Ligi Kuu kwa kushinda mabao 3-0 dhidi ya Pamba Jiji na kuwafanya mashabiki kuifurahia ushindi huo mnono licha ya kutofurahishwa na jinsi timu ilivyocheza, lakini Kocha Romain Folz amewashusha presha, huku akijifungia na mastaa na kuwawashia moto. Watetezi hao wa Ligi Kuu na Kombe la FA, ilipata ushindi huo…

Read More

DKT. YONAZI ATEMBELEA UWAKILISHI WA KUDUMU WA TANZANIA KATIKA OFISI ZA UMOJA WA MATAIFA GENEVA, AAZIMIA KUIMARISHA USHIRIKIANO

NA. MWANDISHI WETU – GENEVA USWISI Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ametembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Uswisi, ikiwa ni ziara yake ya kikazi nchini humo, lengo ni kushiriki Jukwaa la Nane la Dunia la Kupunguza Madhara ya Maafa linalofanyika kuanzia tarehe 2…

Read More

Ibenge apiga mkwara, akizitaja Simba, Yanga

MUDA mchache baada ya kutambulishwa kuwa kocha mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge ameahidi kufanya makubwa ndani ya kikosi hicho akifurahia kupata nafasi ya uwakilishi kimataifa huku akiitaja Simba na Yanga. Ibenge aliyemaliza mkataba na klabu ya Al Hilal Sudan aliyoipa  ubingwa wa Ligi Kuu ya Mauritania msimu huu, amesema amefurahi kupata nafasi ya kuinoa…

Read More

MADEREVA WA MAGARI WAELIMISHWA KUHUSU USALAMA WA BARABARANI

Na Albert Kawogo MADEREVA wanaotumia barabara ya Bagamoyo kuelekea mikoa ya kaskazini ya Tanzania wametakiwa kuwa makini katika kufuata sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kusababisha vifo na ulemavu wa kudumu Akizungumza katika zoezi maalum la ukaguzi wa magari na utoaji wa elimu kwa madereva wa magari yote yanayopitia njia ya Bagamoyo Mkuu…

Read More

NHIF YATUMIA MAONYESHO YA 11 YA BIASHARA NA UTALII KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU VIFURUSHI VYAO

Na Oscar Assenga, TANGA MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya Tanzania (NHIF) Mkoani umeshirikia maonyesho ya 11 ya Biashara na Utalii yanayoendelea kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Usagara ili kutoa elimu kuhusu huduma wanazotoa ikiwemo vifurushi wanavyovitoa. Banda la Mfuko huo limekuwa lililopo kwenye maonyesho hayo limekuwa ni kivutio kwa wananchi ambao wamefika…

Read More

Masisita wafurahishwa na maono chanya ya Polisi,endepo maboresho yataendelea imani itakuwa kubwa

Maaisita kutoka Shule ya Mtakatifu Maria Goreti ya Mjini Moshi wamesema kwa sasa Jeshi la Polisi limekuwalikionekana kuanza kubadilika katika utendaji kazi wao huku wakibainisha kuwa endapo mabadiliko hayo yakoendelea imani kwa wananchi itakuwa kubwa zaidi kwa Jeshi la Polisi. Hayo wameyabainisha walipofika katika shule ya Polisi Tanzania kuhudhuria halflang ya kuvishwa Nishani ambapo walipata…

Read More